http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

KADI YA DANNY WELBECK YAZUA KIZAHAZAHA ENGLAND

HODGSON AKERWA NA KADI KWA DANNY WELBECK!!

Saturday, 07 September 2013 11:06
DANNY WELBECK KUIKOSA UKRAINE JUMANNE!!
WELBECK JANA APIGA BAO 2, SASA BAO 8 MECHI 18 ENGLAND!!
JANA England waliifunga Moldova 4-0 na kujikita kileleni mwa Kundi H la kuwania kucheza Fainali za Kombe la Dunia huko Brazil Mwakani lakini Kocha wao, Roy Hodgson, amekasirishwa sana na Refa kutoka Slovakia kwa kumpa Kadi ya Njano Danny Welbeck itakayomfanya aikose Mechi muhimu sana ya Jumanne huko Kiev dhidi ya Ukraine.
MSIMAMO:
KUNDI H









NAFASI
Team
P
W
D
L
F
A
GD
Pts
1
England
7
4
3
0
25
3
22
15
2
Montenegro
8
4
3
1
15
8
7
15
3
Ukraine
7
4
2
1
19
4
15
14
4
Poland
7
2
4
1
13
8
5
10
5
Moldova
8
1
2
5
4
15
-11
5
6
San Marino
7
0
0
7
0
38
-38
0
***WASHINDI 9 WA MAKUNDI WATATINGA MOJA KWA MOJA BRAZIL
***WASHINDI WA PILI 8 BORA KATIKA MAKUNDI 9 WATAPANGIWA MECHI SPESHO ZA MCHUJO ZA MTOANO ILI KUPATA TIMU 4 KUUNGANA NA WASHINDI 9 WA MAKUNDI KWENDA BRAZIL

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget