http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

WAUMINI WAKUBWA WA DINI ZAO WALIO IAMA REAL MADRID (KAKA, O ZIL ,

MJUE ÖZIL NA AFANYAYO KABLA NA BAADA YA MECHI

Özil ni Muislam hasa na anafuata yaliyo katika dini yake kila anapoweza.

Si tu kwamba Ozil anajua husoma dua kabla ya kila mechi, lakini pia hua haachi kufunga mwezi wa Ramadan na kufuata maamrisho yote ya mwezi huo.

Cristiano Ronaldo alipouliza alijibu: Ozil anapenda sana dini pia Kaka (ambaye hutoa nusu ya mshahara wake makanisani). ila nadhani Ozil ni mpenda dini zaidi kwani kila mara kabla ya mchezo  hua namsikia akitamka Allah."

Ozil ni Mjerumani mwenye asili ya Kituruki mabayo ni nchi yenye Waislam wengi. Kwa hiyo wapenzi wa Premier League na wana Emirates haya mambo mtakua mkiyashuhudia sana na hii ni kama kuwajulisha Ozil alivyo na imani yake.

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget