http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

MAMA MZAZI WA WILLIAN AFARIKI DUNIA KWA UGONJWA ULIOMTESA KWA MIAKA MIWILI



 Maria Jose alikua akisumbuliwa na kansa ya ubongo kwa muda wa miaka miwili na nusu sasa amefariki akiwa na umri wa miaka 57 mjini sao paulo.
willian amabae alikua canada imemlazimu kurudi sao paulo kwaajili ya maziko



 Kufuatia kifo hicho mama yake willian imemfanya asijumwishwe kwenye kikosi cha chelsea kitakachocheza na mabingwa watetezi wa ligi kuu england wiki hii Leicester



Labels:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget