http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

KICHUYA,AJIBU WAZIDI KUNG'ARA YANGA NAO WAKATA MIWA MITATU


Wekundu wa msimbazi Simba Wakicheza ugenini kwa mara ya kwanza katika dimba la Sokoine waliibuka na ushindi mabao 2-0 dhidi ya Mbeya City. kwa magoli yaliowekwa kimiani na Ajibu na kichuya

Timu ya wanainchi Dar young Africans nao wakachomoza na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya wakatamiwa na Mtibwa Sugar.
Mwadui Fc wakawachapa African Lyon kwa mabao 2-0. Chama la wana Stand United wamewachapa wanalamba lamba Azam FC kwa bao 1-0.
Jkt Ruvu na Tanzania Prisons wametosha nguvu kwa sare ya bila kufungana. Nao Mbao Fc waliwachapa ndugu zao Toto Africans kwa mabao 3-1
Majimaji wamelala nyumbani kwa kuchapa kwa bao 1-0 na kagera Sugar.Ligi hiyo itaendelea tena leo hii kwa mchezo mmoja kupigwa Kwa Ruvu Shooting kuwa wenyeji wa Ndanda. 
matokeo haya yanaifanya simba iendee kukaa kileleni mwa ligi kuu wakiwa na pointi 20 wakifuatiwa na ndanda,mtibwa na yanga wakishikilia nafasi ya 4 wanao buruza mkia ni majimaji wakiwa na pointi 3 wakifuatiwa na toto afrika
Labels:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget