http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

ANGALIA JINZI WAAMUZI WALIVYO TOKOTA WEEKEND HII KWA MAAMUZI YAO EPL


Mwamizi chris foy weend hii nae aliingaia katika gomzo katika vyombo mbalimbali vya habari baada ya kushindwa kufanya maamuzi sahihi katika mpambano wa ligi kuu england baada y kushindwa kumwadhibu wa hull city Maynor Figueroa kwa rafu mbaya  alio mchezea mchezaji wa stock city Stephen Ireland na kulazika kutolewa nje ya uwanja 






maamuzi mengine ambayo yalikuwa ya kutatanisha zaidi ni yale ya mchezo wa manchester united na Sunderland mwamuzi wa pambano hilo Roger east alikosea kutoa kadi kwa kumuonyesha kadi nyekundu wes Brown  katika dakika ya  65 ya mchezo badala ya John O'shea na kuizawadia manchester united penati iliyowekwa kimiani na rooney






Labels:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget