http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

Simba yakaa kikao cha dharura washusha lawama kwa wandishi


Baada ya Simba kufanya vibaya uongozi wa klabu na baadhi ya wadau wa karibu wamekaa kikao cha dharula kufikiri kwamba kuna baadhi ya waandishi wa habari ambao wanawaambia ukweli juu ya mwenendo wa Uongozi uliopo madarakani kwamba ndio wanasababisha Simba kufanya vibaya.

Hivyo maamuzi ya kikao hicho ni kwamba kuanzia leo katika vipindi vya redio mbali mbali wameandaliwa wanachama kwa ajili ya kutetea madudu ya Uongozi na kuanza kuwaponda waandishi hao hivyo naombeni leo mchukue mda wenu kusikiliza redio mbali mbali hapa nchini ili muhifahamu sinema hiyo iliyoandaliwa na Uongozi katika kujitetea.
Lakini cha msingi mtandao mzima tunao na mawasiliano yao tunayo na meseji na namba wanazotumiana ili kupeana mgao kwa hao watangazaji watakaofanya kazi hiyo tunazo, kazi kwenu wadau

chanzo shaffih dauda
Labels:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget