http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

MATOKEO YA FA CUP STURRIDGE AZIDI KUCHEKA NA NYAVU, WEAST BROM YAITANDIKA WHM 4




LIVERPOOL imetinga Robo Fainali ya Kombe la FA England baada ya kuichapa Crystal Palace mabao 2-1 katika mchezo wa Raundi ya Tano usiku huu Uwanja wa Selhurst Park

Liverpool ililazimika kutoka nyumba kupata ushindi huo, baada ya Fraizer Campbell kutangulia kuifungia Crystal Palace dakika ya 16 ya mchezo huo.
Daniel Sturridge akaisawazishia Liverpool dakika ya 49 kabla ya Adam Lallana kuwafungia bao la pili na la ushindi Wekundu hao dakika ya 58


mpambano mwingine ulikuwa kati ya West Ham United na West Bromwich Albion



Morgan Amalfitano wa West Ham United akimshambulia usoni Chris Brunt wa West Bromwich Albion katika mchezo wa Raundi ya Tano Kombe la FA Uwanja wa The Hawthorns huku refa Martin Atkinson akishuhudia. West Brom ilishinda 4-0 kwa mabao ya Brown Ideye mawili dakika ya nne na Saido Berahino dakika ya 72  West Brom imetinga Robo Fainali kwa mara ya kwanza tagu 2008

Labels:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget