http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

Ki Sung-Yueng aongoza mauwaji ya man u


MANCHESTER United wamechapwa mabao 2-1 na Swansea City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Liberty jioni ya leo
Ander Herrera alianza kuwafungia wageni, United dakika ya 28 baada ya pasi ya Wayne Rooney, kufuatia kazi nzuri ya Angel di Maria
Hata hivyo, shangwe za bao la United
hazikudumu, baada ya Ki Sung-Yueng kuisawazishia Swansea dakika mbili baadaye akimalizia krosi ya Jonjo Shelvey, kabla ya Bafetimbi Gomis kuifungia la ushindi timu hiyo dakika ya 73

Kikosi cha Swansea kilikuwa; Fabianski, Naughton, Fernandez, Williams, Taylor, Cork, Shelvey/Amat dk90, Ki 7, Sigurdsson/Montero dk74 na Gomis, Routledge



Manchester United: De Gea, McNair/Valencia dk46, Jones, Rojo, Shaw/Young dk59, Blind, Herrera, Fellaini, Di Maria/Mata dk79, Rooney na Van Persie.




Labels:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget