http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

''HATUMTEGEMEI YAYA TOURE''


Mkufunzi wa Manchester United Manuel Pelegrini ana matumaini kwamba Manchester City inaweza kupambana ili kushinda taji la ligi kuu nchini Uingereza bila nyota wake Yaya Toure.

City haijashinda mechi yoyote ya ligi ya EPL tangu Toure aelekee Afrika katika michuano ya mataifa ya Afrika.
''Ni mchezaji muhimu sana na ni muhimu kwa yeye kurudi kikosini.Lakini hatutegemei mchezaji mmoja,lazima tushinde bila yeye'',.
City iko katika nafasi ya pili ikiwa nyuma ya Chelsea kwa pointi saba na hawajashinda katika mechi zote tano za ligi walizocheza,Hatahivyo Pelegrini anasema kuwa wanawaza kuhimili presha hiyo. CHANZO BBC
Labels:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget