http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

CHELSEA KUWACHUNGUZA MASHABIKI WALIOMBAGUA MWAAFRIKA


Mwafrika akishuka kwenye Treni ili kuepusha ugomvi dhidi ya mashabiki wa Chelsea waliokuwa wakisafiri kwenda mjini Paris
KLABU ya Chelsea imeahidi kuwafungia mashabiki walioimba nyimbo za ubaguzi wa rangi na kumtukana mtu mweusi (Mwafrika) katika treni la Paris Metro.
Tukio hilo lilitokea juzi jumanne Chelsea ikilazimisha sare ya 1-1 ugenini dhidi ya PSG, mechi ya kwanza ya ligi ya mabingwa barani Ulaya.
Mashabiki hao waliimbia, “sisi ni wabaguzi wa rangi, sisi wabaguzi wa rangi na ndivyo tunapenda” na baada ya hapo abiria huyo mweusi alishuka kwenye Treni kuepusha ugomvi.
CHANZO SHAFFIH DAUDA
Labels:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget