http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

MECHI YA KILIMANJARO STARS DHIDI YA KENYA YAHAMISHIWA NYAYO,SASA KUANZA SAA MOJA USIKU.

Mchezo wa nusu  fainali ya kombe la Challenge baina ya Tanzania Bara na Kenya iliyokuwa ipigwe huko machacos imebidi ihamishiwe kwenye dimba la Nyayo jijini Nairobi,sababu za kuhamishwa kwa mchezo huo ni kunyesha kwa mvua kubwa iliyosababishwa uwanja wa Machacos kujaa maji.


Taarifa za uhakika kutoka jijini Nairobi kwa mwandishi wa habari za michezo wa gazeti la Jambo Leo Asha Kigundula zinasema sasa mpambano huo utaanza saa moja usiku kwa saa za Tanzania. chanzo shaffih daudaposted by www.skychami.blogspot.com

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget