KOMBE LA DUNIA: ROONEY, GERRARD WAIFIKISHA ENGLAND BRAZIL!
Wednesday, 16 October 2013 00:22
E-mail Print PDF
SPAIN, RUSSIA, BOSNIA-HERZEGOVINA ZAJIUNGA!!
MCHUJO KUPATA 4 NYINGINE: SWEDEN, ICELAND, FRANCE, CROATIA, PORTUGAL, ROMANIA, GREECE, UKRAINE!
HUKU Ukraine wakiwabonda ‘vibonde’ San Marino Bao 8-0 kwenye Kundi H, England walihitajiENGLAND_IN_WEMBLEYushindi na ni Wachezaji wao wapiganaji, Wayne Rooney na Nahodha Steven Gerrard, ndio waliopiga Bao na kushinda 2-0 walipocheza na Poland na kutinga Brazil kwenye Fainali za Kombe la Dunia
ULAYA:
ZIPO BRAZIL:
-England, Spain, Russia, Bosnia-Herzegovina, Netherlands, Italy, Belgium, Switzerland, Germany
MECHI ZA MCHUJO:
-Sweden, Iceland, France, Croatia, Portugal, Romania, Greece, Ukraine
[4 Kati ya hizi kutinga Brazl]
Pamoja na England, Nchi nyingine zilizofuzu leo ni Spain, Russia na Bosnia-Herzegovina.
Kabla ya Mechi za leo, Netherlands, Italy, Belgium, Switzerland na Germany zilikuwa tayari zimefuzu zikiwa na Mechi mkononi.
ZIPO FAINALI BRAZIL 2014:
-Brazil, Argentina, Colombia
-Japan, Australia, Iran, South Korea
-Netherlands, Italy, Belgium, Switzerland, Germany, England, Spain, Russia, Bosnia-Herzegovina
-Costa Rica, United States
Washindi 9 wa Makundi 9 ndio wamefuzu moja kwa moja na Timu 8 zilizomaliza Nafasi za Pili Bora, ambazo ni Iceland, France, Croatia, Portugal, Romania, Greece na Ukraine, zitakwenda kwenye Droo maalum kupanga Mechi 4 ili kupata Timu 4 zitakazoenda Brazil.
VIKOSI:
England: Hart, Smalling, Cahill, Jagielka, Baines, Carrick, Gerrard, Townsend, Rooney, Welbeck, Sturridge
Akiba: Ruddy, Jones, Gibbs, Wilshere, Lampard, Milner, Barkley, Defoe, Sterling, Lambert, Forster.
Poland: Szczesny, Wojtkowiak, Jedrzejczyk, Glik, Celeban, Blaszczykowski, Mierzejewski, Krychowiak, Sobota, Mariusz Lewandowski, Robert Lewandowski. Akiba: Boruc, Wasilewski, Jodlowiec, Polanski, Zielinski, Klich, Wawrzyniak, Peszko, Sobiech, Rzezniczak, Fabianski.
Refa: Damir Skomina (Slovenia)
KOMBE LA DUNIA
ULAYA
MATOKEO-Mechi za Mwisho:
Cyprus 0 Albania 0
Lithuania 0 Bosnia And Herzegovina 1
Israel 1 Northern Ireland 1
Portugal 3 Luxembourg 0
Greece 2 Liechtenstein 0
Azerbaijan 1 Russia 1
Norway 1 Iceland 1
Switzerland 1 Slovenia 0
Hungary 2 Andorra 0
Turkey 0 Netherlands 2
Romania 2 Estonia 0
Latvia 2 Slovakia 2
Bulgaria 0 Czech Republic 1
Denmark 6 Malta 0
Serbia 5 Macedonia 1
Sweden 3 Germany 5
Ireland 3 Kazakstan 1
Italy 2 Armenia 2
Faroe Islands 0 Austria 3
Spain 2 Georgia 0
Montenegro 2 Moldova 5
France 3 Finland 0
San Marino 0 Ukraine 8
England 2 Poland 0
Scotland 2 Croatia 0
Belgium v Wales.
Post a Comment