http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

REAL MADRID TAITANDIKA BARCELONA 77-71


Real Madrid imeitwanga Barcelona kwa pointi 77-71 na kutwaa ubingwa wa Copa de Rey katika mchezo wa mpira wa kikapu.



Licha ya mechi kuwa kali huku Barcelona wakionekana kutawala robo mbili za mwanzo, Madrid walibadilika zaidi.
Robo ya mwisho ndiyo ilionekana kuwa ngumu kwa Barcelona, huku Madrid wakitawala kila idara.

Tayari uongozi wa timu hiyo ya kikapu ya Madrid umeshatamba unataka kuchukua kila taji.

FC BARCELONA 71 (21+21+15+14): Satoransky (11), Oleson (4), Hezonja (0), Doellman (11), Tomic (25) -starting five-; Huertas, Abrines (7), Navarro (6), Thomas (7), Lampe, Nachbar, Pleiss.

REAL MADRID 77 (18+23+23+13): Llull, Carroll (5), Rudy Fernández (16), Ayón (10) and Reyes (8) -starting five-; S. Rodríguez (10), Campazzo, Maciulis (8), Rivers (2), Nocioni (10), Bourousis (4) and Slaughter (4).

Labels:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget