http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

IBRAHIMOVIC APIGA BONGE LA BAO LA KISIGINO PSG IKIIUA BASTIA 4-0



Zatlan Ibrahimovic ,32, amefunga bao la aina yake kwa kisigino wakati PSG ilipoichapa Bastia kwa mabao 4-0 katika mechi ya Ligi ya Ufaransa maarufu kama League 1.


Mswidi huyo alifunga mabao mawili wakati Edinson Cavani akifunga moja katika ushindi huo mnono wa PSG ambayo imetumia mamilioni ya fedha katika usajili wake.


AKIFUNGA BAO HILO


Pamoja na ushindi huo, bao hilo la kisigino limekuwa gumzo kutokana na namna alivyofunga akiwa katikati ya mabeki wawili wa Bastia.

Ibra amekuwa akifunga mabao mazuri kutokana na tabia yake ya kujiamini na amekuwa akisisitiza kwamba ana uwezo mkubwa wa kucheza soka.

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget