http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

MESSI HAMJIBU RONALDO ,CHELSEA HOI ARSENAL YASHINDA LIGI YA MABINGWA

LION MESSI nae hamjibu ronaldo hapiga hat trick dhidi ya ajax timu ya barcelona imeweza kuibuka na ushind wa magoli 4-0 dhidi ya timu ya ajax  shkrani kwa magoli matatu ya mshamuliaji wa kimatifa kutoka argentina l. mess alie funga magoli matatu huku goli la 4 likifungwa na gerald pique kwa kichwa safi. huko egland matajiri wa londa chelsea wameangukia pua baada kupata kichapo cha magoli 2-1 pale darajani dhidi ya fc basel chelsea ndo walikuwa wa kwanza kuandika bao kupitia kwa oscar kabla ya muhamedi salah kuisawazishia timu yake hiyo goli dk ya 71 na goli la pili likifungwa na m.sreller dk ya 81 matokeo yote haya hapa


Schalke 04 3 - 0 Steaua BucureÅŸti

Chelsea 1 - 2 Basel

Olympique Marseille 1 - 2 Arsenal

Napoli 2 - 1 Borussia Dortmund

Austria Wien 0 - 1 Porto

Atlético Madrid 3 - 1 Zenit

Milan 2 - 0 Celtic

Barcelona 4 - 0 Ajax

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget