http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

LIGI YA MABINGWA ULAYA MADRID YAFANYA KUFRU MAN U YACHINJA




Magoli 3 yalio fungwa na mshambuliaji wa kimataifa kutoka ureno  cristiano ronaldo dakika za 63,66 na 90 na yale mawili ya k. benzema dakika za 54 na 81  na goli moja la mchezaji mpya isco akika ya 33 yametosha kabisa kuwazamisha waturuki galatasaray dhidi ya real madrid kwa kichapo cha aibu cha magoli sita kwa moja goli la u.bulut dakika ya  84; Katika mchezo mwingine mashetani wekundu manchester united wameibuka na ushindi wa magoli 4 -2 dhidi ya bayern leverkusen shukrani kwa mshambuliaji wa kimataifa wa wingereza w.roony alie funga magoliu 2 dk 22 na70 akiwa katika kiwango cha hali ya juu kabisa pamoja na magoli hato aliweza kuto pasi ya goli kwa  anton valencia dk ya 79 pia mshambuliaji wao bora kutoka uholanzi R.V.Parsie aliwapatia goli moja














MATOKEO MEGINE ANGALIA HAPA



Manchester United 4 - 2 Bayer Leverkusen

Real Sociedad 0 - 2 Shakhtar Donetsk

Galatasaray 1 - 6 Real Madrid

København 1 - 1 Juventus

Benfica 2 - 0 Anderlecht

Olympiakos Piraeus 1 - 4 PSG

Bayern München 3 - 0 CSKA Moskva

Viktoria Plzeň 0 - 3 Manchester City

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget