TAASISI YA APEC YATOA MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI KWA WAHITIMU ZAIDI YA 100 WILAYANI ARUMERU
Wafanya biashara wa bodaboda wilayani Arumeru mkoani Arusha wameaswa kutokujiingiza katika maswala ya kisiasa ili kuepuka vurugu zisizo za lazima ili waweze kujikwamua kiiuchumi.
Post a Comment