http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

MWENYEKITI WA BODI YA LIGI KUU TANZANIA BARA AFARIKI SAID MOHAMED DUNIA


Aliyekuwa makamu mwenyekiti wa Bodi ya ligi soka Tanzania Bara Mzee Said Mohamed amefariki dunia leo katika hospital ya Agha Khan alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Said Mohamed aliwahi kuwa Meneja mkuu wa kampuni ya Azam, ambapo pia alikuwa Mwenyekiti wa klabu ya Azam fc inayoshiriki ligi kuu.

Labels:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget