http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

MWANGALIE MREMBO BORA KULIKO WOTE DUNIANI AMBAE PIA NI MWIGIIZAJI



Nina Dobrev ni mwanamke mrembo  ulimwenguni kote ambae ni mzaliwa wa nchi bulgaria lakini alikulia nchini canada

mrembo huyu anajishuhulisha na mambo ya uigizaji pamoja na mitindo ambapo amefanya vizuri katika ulingo wa filamu huko canada kama vile  Fugitive Pieces, Away from Her, Never Cry Werewolf pia kama mchekeshaji kwenye Travelling is her hobby. Dobrev amesomea mabo ya uigizaji   Armstrong Acting Studios huko toronto, Ontario, Canada. The Perks of Being a Wallflowe ni moja ya movie inayojulikana nawengi sana
Nina akiwa amecheza kama vampire

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget