http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

ANGALIA KIKOSI CHA XABI ALONSO CHA MUONGO MMOJA CHA LIGI YA MABINGWA ULAYA

Xabi Alonso
AKIWA amecheza kwa zaidi ya muongo mmoja Ulaya, hapana shaka ni sahihi kusema Xabi Alonso anamjua mchezaji mzuri
Akiwa ameshinda taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya mara mbili, kiungo huyo wa zamani wa Liverpool ametaja kikosi cha wachezaji 11 bora wa muda wote katika zama zake wa Ligi ya Mbingwa Ulaya kwa mtazamo wake


Kwa sasa akiwa anachezea Bayern Munich, Mspanyola huyo amemteua kipa wa timu yake, Manuel Neuer kuwa mlinda mlango wa kikosi, ambacho ndani yake kuna washambuliaji Lionel Messi wa Barcelona na Cristiano Ronaldo wa Real Madrid
Kikosi kamili cha Alonso ni; Manuel Neuer, Philip Lahm, Sergio Ramos, Carles Puyol, David Alaba, Zinadine Zidane, Paul Scholes, Xavi, Steven Gerrard, Cristiano Ronaldo na Lionel Messi



Zidane
C.Ronaldo

Xabi alonso
Lahm

Scholes

Mess

Neuer




Labels:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget