http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

Angalia Jinsi mipira ya Kombe ya Dunia 2014 inavyotengenezwa

Kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo ya Pakistan imepata mkataba wa Adidas wakutengeneza mipira itakayotumika kwenye kombe la dunia 2014 nchini Brazil.
Fahamu “brazuca” Mpira utakaotumika kwenye mechi ya fainali utatengenezwa na Adidas wenyewe kwa vigezo na viwango vya mpira huo.
Huyu Khawaja Akhtar ni CEO wa Forward Sports Pvt, Pakistan.
29
Khawaja Akhtar alipata dili hiili baada ya waliokuwa na mkataba huu na Fifa kushindwa kukamilisha namba ya mipira iliyohitajika kwa muda waliopewa. Ilikuwa kampuni ya Mchina.

115
38
45
63
75
83
94
Labels:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget