http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

RONALDO APIGA MOJA MADRID IKIIZAMISHA MALAGA 2-0



Real Madrid imeendeleza ushindi katika La Liga baada ya kuichapa Malaga kwa mabao 2-0 kwenye Uwanja wake wa Santiago Bernabeu jijini Madrid.

Mabao ya Madrid yalifungwa na Di Maria katika dakika ya 46 ikiwa ni baada ya timu hizo kwenda mapumziko bila ya mabao.



Wakati wengi wakiamini matokeo ni 1-0 na Malaga wakionyesha juhudi za kusawazisha, Cristiano Ronaldo akawamaliza wageni wao kwa mkwaju wa penalty na kufunga bao la pili.





Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget