http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

"NILISHAWAHI KUROGWA NA NAAMINI USHIRIKINA UPO....." WEMA SEPETU

STAA wa filamu za Kibongo Wema Sepetu amefunguka kuwa katika maisha yake aliwahi kufanyiwa mambo ya ushirikina(kulogwa) bila kufafanua alilogwa na nani na alipatwa na nini au ugonjwa gani. 

Wema amefunguka kupitia kipindi chake cha In My Shoes kinachorushwa kila jumatano kupitia East African TV ambapo aliulizwa kama kama anaamini ushirikina upo na kama alishawahi kulogwa ambapo alijibu kuwa anaamini ushrikina upo ila haupi nafasi katika maisha yake kwani anamuamini Mungu.

‘Yaah!Nilishawahi kulogwa na naamini ushirikina upo ila siupi nafasi katika maisha yangu namuamini Mungu tu,’alisema Wema

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget