http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

NAMUOTA MPENZI WANGU WA ZAMANI KILA SIKU

Kuna Kaka mmoja niliachana nae long time sana ..ni mpenzi wangu wa kwanza.nilikuwa kweli nampenda saaaana .nilimuheshimu nilimthamini ila ndo hivo haikuwa riziki.since nimeachana nae ni miaka almost sita sasa.
mara ya mwisho kabisa kuwasiliana ile kishkaji ni 2011 alipooa.since then nilimtoa kwenye kichwa changu kabisaaa,,no calls ,no sms ..no mail to me ni kama hata hayupo duniani.
honestly mimi sio mtu wa kuamini ndoto saana ..mimi nikiota nimeota!
nina kama wiki mbili sasa kila siku namuota huyu mbuzi ..kila siku namuona kwenye ndoto zangu.basio nikamwambia dada mmoja wa maombi .akaniambia ina maana kwamba nitapata au kama nina mpenzi mwingine yatanikuta yaleyale ya huyo jamaa wa mwanzoni.
sasa nikikumbuka yule jamaa...mistreatment..dissapointment na kibuti mmmh!

sijui ni kweli sijui lakini ...ila nimemuachia tu Mungu lakini...nawaogopa wanaume kama hiv sasa!

Nini Maana ya hizi Ndoto..?source udakuposted by skychami.blogspot.com

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget