http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

Mchezaji WA Newcastle United apewa ‘Deal’ ya kuigiza Movie ya X!!

the-magpies-have-enjoyed-many-exciting-european-nights-including-famous-clashes-with-barcelona-one-of-which-featured-a-certain-tino-asprilla-1354337
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Newcastle United Faustino Asprilla amepwa ofa ya kuigiza filamu za ngono na kampuni moja inayojihusisha na utengenezaji wa filamu hizo nchini Colombia .
Asprilla amepewa ofa ya kulipwa Peso Milioni 20 ambazo ni sawa na dola za kimarekani 10,000 ambazo atalipwa endapo atasaini mkataba wa wiki moja wa kutengeneza filamu hizo.
SELECCIÓN COLOMBIA  1994
Kampuni ya Santa Latina ambayo ni moja ya kampuni zinazoongoza kwa utengenezaji wa filamu za X nchini Colombia imemuandikia Tino Asprilla Barua ambapo imeeleza kuwa imevutiwa na muonekano wa mshambuliaji huyo wa zamani mwenye umri wa miaka 43 na ingependa kumpa shavu atokelezee kwenye moja ya filamu zake .
Asprilla amezoeleka mbele ya mashabiki kwa utata aliosababisha kutokana na vituko vyake na kipaji alichokuwa nacho enzi alizokuwa akicheza soka .
3rtqO
Asprilla aliwahi kupigwa picha akiwa uchi ambapo picha hizo zilitumika kupamba ukurasa wa mbele wa jarida moja huko Colombia mwaka 1993 na aliwahi kutiwa mbaroni baada ya kuwashambulia polisi kwa kutumia silaha aina ya Machine Gun.
Bado mshambuliaji huyo hajajibu maombi hayo toka kwa kampuni hiyo ambayo ingependa kutumia muonekano wake kwenye filamu za ngon

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget