http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

EPL MAN U, LIVERPOOL ZABANWA MBAVU CHELSEA,ARSENA ZAUWA

lovren
misery




Mwanzo mbaya kwenye msimu wa Manchester United umeendelea tena  baada ya mabingwa hao watetezi wa Ligi kuu ya England kulazimishwa sare ya 1-1 na Southampton katika mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Old Trafford .
United walianza kupata bao likifungwa na
Robin Van Persie ambaye alipata pasi iliyoanzishwa na kiungo Adnan Januzaj lakini mwishoni kabisa mwa mchezo beki wa kimataifa wa Croatia Dejan Lovren aliisawazishia Southampton .
Katika michezo mingine Liverpool na Newcastle United walitoka sare ya 2-2 . Newcastle walianza kufunga kupitia kwa Johan Cabaye kabla ya Steven Gerrard hajaisawazishia Liverpool kwa Penalty . Newcastle walifunga bao la pili kupitia kwa Paul Dummett lakini Daniel Sturridge aliisawazishia Liverpool.
epl

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget