http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

Ligi Kuu England

BPL: MSIMU WAISHA KWA MAGOLI KIBAO, ARSENAL, CHELSEA ZIPO UCL!

JUMAPILI, 19 MEI 2013 20:55
ChapishaToleo la kuchapisha
, 19 MEI 2013 20:55
ChapishaToleo la kuchapisha
>>SPURS KUCHEZA EUROPA LIGI!
>>SIR ALEX AAGWA KWA SARE YA 5-5 NA WBA!!
>>RVP ATWAA BUTI YA DHAHABU!!
BPL, Barclays Premier League, leo imemaliza Msimu wake wa 2012/13 kwa kukamilisha idadi ya Timu 4 za kucheza UCL,UEFA CHAMPIONZ LIGI, Msimu ujao kwa Chelsea na Arsenal kuungana na Mabingwa Manchester United na Manchester City na kuitupa Tottenham kucheza EUROPA LIGI.
Kabla ya Mechi za leo tayari alishapatikana Bingwa ambaye ni Man United na Mshindi wa Pili ni Man City na Timu zilizoshushwa Daraja ni Wigan, QPR na Reading.
Kilichobaki kilikuwa kinyang’anyiro cha Nafasi za 3,4 na 5 ambapo Chelsea imefanikiwa kukamata ya Pili na Arsenal ya 4 hivyo kucheza UCL lakini Chelsea, pamoja na Man United na City, zitacheza Makundi, na Arsenal kuanza hatua ya Raundi ya Mchujo na ikifuzu itaingia Makundi.
Tottenham, kwa kumaliza Nafasi ya 5, itacheza EUROPA LIGI kuanzia Hatua ya Mchujo.!

>>SIR ALEX AAGWA KWA SARE YA 5-5 NA WBA!!
>>RVP ATWAA BUTI YA DHAHABU!!
BPL, Barclays Premier League, leo imemaliza Msimu wake wa 2012/13 kwa kukamilisha idadi ya Timu 4 za kucheza UCL,UEFA CHAMPIONZ LIGI, Msimu ujao kwa Chelsea na Arsenal kuungana na Mabingwa Manchester United na Manchester City na kuitupa Tottenham kucheza EUROPA LIGI.
Kabla ya Mechi za leo tayari alishapatikana Bingwa ambaye ni Man United na Mshindi wa Pili ni Man City na Timu zilizoshushwa Daraja ni Wigan, QPR na Reading.
Kilichobaki kilikuwa kinyang’anyiro cha Nafasi za 3,4 na 5 ambapo Chelsea imefanikiwa kukamata ya Pili na Arsenal ya 4 hivyo kucheza UCL lakini Chelsea, pamoja na Man United na City, zitacheza Makundi, na Arsenal kuanza hatua ya Raundi ya Mchujo na ikifuzu itaingia Makundi.
Tottenham, kwa kumaliza Nafasi ya 5, itacheza EUROPA LIGI kuanzia Hatua ya Mchujo.

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget