http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

hali ya amani yarejea mkoani iringa


Ghasia mjini Iringa,Tanzania

Hali ya utulivu imerejea Iringa,baada ya kuzuka vurugu kati ya askari wa mamlaka ya jiji na wafanyabiashara,kisa kilichosababisha zaidi ya watu 70 kukamatwa akiwemo mbunge wa chama cha Chadema,Mchungaji Peter Msigwa.
Hatua hiyo ilifuata baada ya polisi wa kikosi cha kutuliza ghasia FFU kuingilia kati. Saumu Mwasimba amezungumza na kamanda wa polisi wa mkoa huo Michael Kamhanda ambaye pamoja na kuthibitisha juu ya kurejea kwa hali ya utulivu ameelezea pia juu ya hatma ya waliokamatwa. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
by charles chami kwa msahada dw swahili

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget