Philippe Coutinho sasa haiwezekani kujiunga na Barcelona akitokea Liverpool msimu huu wa majira ya joto kwa mujibu wa RAC1 kupitia Mundo Deportivo .
Madau kadhaa ya Barcelona kwa ajili ya mchezaji...
Wanaume wanne wamefikishwa kwenye mahakama ya Afrika Kusini kujibu mashtaka ya ulaji nyama ya binadamu, baada ya madai kuwa mmoja wao alifika katika kituo cha polisi na kusema kuwa amechoka kula ny...
Kocha Mkuu wa Simba Joseph Omog, ametamba kwa kusema yeye na wachezaji wake wanatamani kesho iwe leo ili waweze kufanya mauaji iliyokusudia kwa mahasimu wao Yanga.
Kocha huyo amesema kuwa w...
Wayne Rooney amekuwa mchezaji wa pili kutimiza idadi ya mabao 200 katika Ligi Kuu Uingereza baada ya kufunga dhidi ya Man City usiku wa kuamkia leo
Rooney mwenye umri wa miaka 31 amefunga ...
Festo mselia ambaye ni mmiliki wa kampuni ya Mselia Enterprises anadaiwa alijiua kwa kujipiga risasi chini ya kidevu shambani kwake eneo la Msalato, nje kidogo ya mji wa Dodoma, baada ya polisi...
Michuano ya Uefa Uropa Ligi imepigwa jana usiku kwa michezo mbalimbali,Manchester United imeambulia Sare na Fc Rostov bao 1-1 ,Apolia Nicosia wakiwa nyumbani wamechapwa na Anderletch bao 1-0,
Fc ...

luis suarez ameiongoza vyema timu ya barcelona kunyakua ubingwa wa 24 mbele ya wapinzani wao waliokuwa wanachuana katika mbio za ubingwa wa la liga real madrid baada ya kuichapa timu ya Granada goli 3-0 shukrani za kipekee zimwendee suarez alietupia kambani goli zote tatu katika dk za 22, 38 na 86.
magoli hayo yamemfanya luis kuibuka mfugaji bora wa la liga msimu wa 2015-2016 kwa jumla ya goli 40 na kumwacha mpinzani wake wa karibu Christian Ronaldo alie tupia goli 37 baada ya kufunga magoli mawili katika mchezo wa leo dhidi ya Deportivo La Coruña.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.