Utafiti umebaini kuwa betri za simu za android
zinawezakutumika kufuatilia watumizi
Simu za kisasa
zinazotumia mfumo wa Android zinaweza kufuatiliwa kwa urahisi sana.
Uchnguzi umebaini kuwa
simu zinazotumia mfumo huo zinaweza kufuatiliwa kwa urahisi mno pasi na kutumia
kifaa cha GPS yake.
Aidha simu hizo
zinaweza kudukuliwa kwa kutumia matumizi ya betri yake huku utafiti ukisema
kuwa simu zinazotumika karibu na kifaa cha kupeperushia masafa ya simu za
kuungia mbali.
Simu za kisasa
''Smartphone'' hutumia nguvu zaidi inapokuwa mbali zaidi na kifaa hicho cha
kupeperushia masafa ya GSM, kwani inachangamoto tele za kungamua masafa.
Matumizi ya nguvu
zaidi ya shughuli zingine yanaweza kubaiishwa na ''alogarithm'' muundo msingi
wa simu yenyewe.
Watafiti hao sasa
wameunda mfumo ambao unakusanya habari kuhusu matumizi ya betri ya simu.
‘’Mfumo huo hairuhusu
kutumia GPS wala huduma zozote kwa mfano mtandao wa Wi-fi ‘’
Jopo hilo
linajumuishwa Yan Michalevsky, Dan Boneh na Aaron Schulman kutoka idara ya
sayansi ya tarakilishi katika chuo kikuu cha Standford pamoja na Gabi Nakibly
kutoka kwa kampuni ya Rafael waliandika katika utafiti wao.
‘’Tunaruhusa ya kuunganisha mtandao na
upatikanaji wa nguvu yao.’’
‘’Hizi ni ruhusa za
kawaida kwa mfumo huo na inawezekano wa kutoleta hutuma kwa upande wa
mwathiriwa.
Kuna mifumo 179 ambazo
zinapatikana kwenye Anaroid ,timu hiyo iliongezea.
Shughuli kama kuskiza
muziki au kutumia mtandao wa kijamii inamaliza betri ya simu lakin i hii
inaweza kupunguzwa kutokana na ‘’kujifunza kwa mashine’’ripoti inasema.
Jaribio hilo
lilifanyiwa kwa simu ambazo zinatumia mtandao wa 3G lakini haikuweza kupima
nguvu kwa kuwa twakimu inalindwa na kifaa hicho.
Post a Comment