http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

Katika usajili Johnson ajiunga na West Ham


Roger Johnson 
Mlinda ngome, Roger Johnson, amejiunga na West Ham kwa mkopo kutoka Wolverhampton Wanderers kwa kipindi kinachosalia musimu huu.
West Ham, ambao wame shuka hadi nafasi ya pili kutoka mwisho katika ligi ya Premier ya Uingereza, wamekumbwa na majeruhi kwa mabeki wao wenye uzoefu.
Johnson, 30, alishinda taji la League Cup na Birmingham City mwaka wa 2011 na alisaidia Cardiff kufika fainali ya 2008 ya kombe la FA.
Alijuinga na Wolves 2011 kwa kitita kinachosemekana ni pauni milioni 7 za Uingereza na akacheza mara 42 kabla ya kusonga Sheffield Wednesday kwa mkopo.
Mchezaji huyo anaweza jumuishwa mara moja katika kikosi kikuu cha West Ham pale watakapokabiliana na Manchester City kwenye semi-fainali ya League Cup Jumatanowww.skychami.blogspot.com.

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget