http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

Defoe kujiunga na Toronto

  

                                                                                                                                                              Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Jermain Defoe, anakaribia kusaini na Toronto FC wanaocheza Major League Soccer (MLS) ya Marekani kulingana na habari za Uingereza na Canada.
Klabu hicho kiliandika ujumbe kwenye mtandao wao wa Twitter wakishauri mashabiki kutarajia “patano nono zaidi.”
Jarida la Uingereza, Guardian na Toronto Star la Canada, walisema staa huyo, 31, atakubalishwa kucheza Tottenham kwa mkopo hadi Machi 15 kabla ya mwanzo wa musimu wa MLS.
Huko ataungana tena na mwenzake wa zama Tottenham, Ryan Nelsen, abaye ni mwalimu mkuu wa Toronto.
Defoe ametumika nadra kwenye ligi ya Premier licha ya klabu hicho kukaukiwa na mabao. Mshambuliaji huyo amafunga mabao tisa kwenye mashindano ya vikombe, saba katika Ligi ya Europa.
Defoe amechezea Uingereza mara 55 na kufunga mabao 19 na alijiunga tena na Spurs 2009 baada ya kuhamia Portsmouth.

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget