http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

Torres kurudi kesho kuiongeza Chelsea nguvu

Meneja wa Chelsea Jose Mourinho  atamkaribisha Fernando Torres  kwa ajili ya mchezo ujao dhidi ya Cardiff City Jumamosi.kesho
Torres aliumia goti katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Steaua Bucharest tarehe 1 Oktoba katika ligi ya mabingwa na  kukosa ushindi wa Chelsea dhidi ya Norwich City na zile za Hispania mbili za mwisho za kuwania kufudhu kombe la dunia.
Mourinho alisema  "Fernando, yeye yuko tayari kucheza," hajui kama atakuwa  tayari kucheza au bado - hakuna mtu anajua.
"Mimi nafanya kazi kifundi katika mafunzo yangu lakini  hivyo wachezaji hawajui na sikutaka kuonyesha wachezaji ambao watacheza mimi nina timu  hivyo wachezaji hawajui nani atacheza
"Fernando yuko tayari  kuchaguliwa Ameonyesha kujitolea nzuri na kazi nzuri katika kipindi hiki..
"Tuna washambuliaji watatu lazima kuwe na tatizo la kuchagua nani aanze kuna Fernando, Samweli Eto'o na Demba Ba wote watatu wako tayari na nadhani tunahitaji hivyo."
Mourinho atmkosa  Ashley Cole, ambaye inaendelea kuuguzaa  maumivu ya ubavu, wakati
 Ryan Bertrand  atachukua   nafasi ya Cole nyuma kushoto ingawa Mourinho amebaki amechanganyikiwa kutokana na mapumziko ya kimataifa na athari kwenye kikosi chake.
Alipoulizwa akiwa mapumzikoni Ureno alisema: 
"Sisi tumepoteza dhidi ya Everton na mara baada ya Basel  tukapisha  michezo ya kimataifa.  hivyo leo sisi ni kwenda hotelini 
"Kesho ushind kwetu ni muhimu, na tunaitaji kushinda."posted by skychami.blogspot.com

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget