VINARA WA VPL, Ligi Kuu Vodacom, Yanga,
leo wameanza Mzunguko wa Pili kwa kuitwanga Prisons Bao 3-1 katika Mechi
iliyochezwa Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
MSIMAMO-Timu za Juu:
NA |
TIMU |
P |
W |
D |
L |
GD |
PTS |
1 |
YANGA |
14 |
10 |
2 |
2 |
17 |
32 |
2 |
AZAM FC |
14 |
8 |
3 |
3 |
8 |
27 |
3 |
SIMBA |
14 |
7 |
5 |
2 |
11 |
26 |
Bao la Prisons lilifungwa na Maguhi katika Dakika ya 17.
Jana Azam FC, ambayo iko nafasi ya Pili,
iliifunga Kagera Sugar Bao 3-1 Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam na
Simba, ambao wako nafasi ya 3, kuichapa African Lyon Bao 3-1.
Mechi inayofuata kwa Yanga ni hapo Jumamosi Tarehe 2 Februari dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
VIKOSI:
Yanga: Ally Mustafa
'Barthez', Mbuyu Twite, Oscar Joshua, Nadir Haroub 'Cannavaro', Kelvin
Yondani, Athumani Idd 'Chuji', Saimon Msuva, Nurdin Bakari, Didier
Kavumbagu, Jerson Tegete, Haruna Niyonzima
Akiba: Said Mohamed, Juma Abdul, David Luhende, Nizar Khalfani, Hamis Kiiza, Said Bahanuzi
Prisons: David
Abdallah, Aziz Sibo, Henry Mwalugala, Lugano Mwangama, Jumanne Elfadhil,
Nurdin Issa, Sino Augustino, Freddy Chudu, Elias Maguri, Misango Magai,
Jeremiah Juma.
VPL: RATIBA:
RAUNDI YA PILI
MATOKEO:
Januari 26
African Lyon 1 Simba 3
Mtibwa Sugar 0 Polisi Morogoro 1
Coastal Union 3 Mgambo JKT 1
Ruvu Shootings 1 JKT Ruvu 0
Azam 3 Kagera Sugar 1
JKT Oljoro 3 Toto Africans 1
Januari 27
Yanga v Tanzania Prisons
RATIBA MECHI ZIJAZO:
30.01.2013. JKT OLJORO v KAGERA SUGAR [SH. AMRI ABEID, ARUSHA]
30.01.2013. AZAM FC v TOTO AFRICANS [AZAM COMPLEX, DAR ES SALAAM]
02.02.2013. YOUNG AFRICANS v MTIBWA SUGAR FC [UWANJA WA TAIFA, DSM]
02.02.2013. POLISI MOROGORO v AFRICAN LYON FC [JAMHURI, MOROGORO]
02.02.2013. MGAMBO JKT v RUVU SHOOTINGS [MKWAKWANI, TANGA]
03.02.2013. SIMBA SC v JKT RUVU [UWANJA WA TAIFA, DSM]
03.02.2013. COASTAL UNION v TANZANIA PRISONS [MKWAKWANI, TANGA]
Post a Comment