http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

UEFA CHAMPIONZ LIGI: CHELSEA, REAL ZAINGIA ROBO FAINALI!



CHELSEA 2 GALATASARAY 0
magoli ya Samuel Eto'o, Dakika ya 4, na Gary Cahill, Dakika ya 43, zimeifanya Chelsea itinge Robo Fainali ya UEFA CHAMPIONZ LIGI baada ya kuichapa Galatasaray Bao 2-0 Uwanjani Stamford Bridge.
Katika Mechi ya Kwanza huko Ugiriki, Timu hizi zilitoka 1-1.
REAL MADRID 3 SCHALKE 1
Magoli mawili ya Cristiano Ronaldo, Dakika ya 22 na 74, na moja la Morata, Dakika ya 75, yamewapa ushindi Real Madrid wa magoli 3-1 na kuwabwaga nje ya UEFA CHAMPIONZ LIGI Schalke kwa Jumla ya Mabao 9-2 katika Mechi mbili.
Bao pekee la Schalke kwenye Mechi hii lilifungwa na Tim Hoogland katika Dakika ya 31.

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget