| |
.
Kiungo huyo wa kati wa Manchester City aliwapiku John Obi Mikel wa Nigeria na raia mwenzake wa Ivory
Coast Didier Drogba kutwaa tuzo hiyo, na kufikia Abedi Pele na Samuel Eto'o ambao pia walitwaa tuzo
hiyo mara tatu mfululizo.
Abedi Pele kutoka Ghana alishinda tuzo hiyo mara tatu mtawalia kati ya 1991-93 naye Eto'o kutoka
Cameroon akashinda kuanzia 2003-05.
Eto'o, ambaye kwa sasa ni mshambuliaji wa Chelsea, pia alishinda 2010.www.skychami,blogspot.com
Post a Comment