http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

KATIBU MKUU WA SIMBA ASAJILIWA RASMI KUWA WAKILI WA KUJITEGEMEA.


Katibu mkuu wa klabu ya Simba Evodius Mtawala leo hii amesajiliwa rasmi kuwa mwanasheria/WAKILI wa kujitegemea. Mtawala ambaye alisomea masuala ya sheria na katika chuo kikuu cha Mzumbe alipohitimu na kutunukiwa degree ya kwanza ya sheria, baadae akaweka gambani postgraduate ya sheria kutoka Law School of Tanzania. 

Mtawala ambaye ni mmoja ya viongozi vijana wachache katika vilabu vya soka Tanzania ambao shule imelala kichwani, pia ana masters ya business administration kutoka Esami.Source shaffih daudawww.skychami.blogspot.com

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget