http://tropicalpoultryfarming.blogspot.com/

Ronaldo asaini mkataba mpya Real Madrid.


ronnie
Klabu ya Real Madrid imethibitisha kuwa winga wa kimataifa toka Ureno Cristiano Ronaldo amekubali kusaini mkataba mpya na klabu hiyo baada ya mazungumzo ya muda mrefu yaliyotishia mustakabali wa muda mrefu wa mchezaji huyo ndani ya klabu ya Real Madrid .
Ronaldo amesaini mkataba wa miaka mitatu utakaomfanya akae Real Madrid hadi mwaka 2018 ambapo atakuwa analipwa mshahara wa paundi milioni 14.7 kwa mwaka .
ron
Mkataba huo unaua rasmi matumaini ya klabu ya Manchester United ya kumrudisha nyumbani mchezaji huyo kama zilivyokuwa zinadai tetesi za vyombo vya habari huko England.
roon
rooon

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

CHARLES CHAMI. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget